TIBA YA KIPANDA USO (MAGRAINE)
#UJUE UGONJWA WA KIPANDA USO NA TIBA
ZAKE#
Kipanda uso ni maumivu ya kichwa ambapo kichwa kinagonga kweli kweli na mara nyingine inaweza kuwa sehemu ya mbele au upande mmoja wa kichwa ndiyo unapatwa na maumivu haya.
Maumivu haya yanaweza kubaki kwa saa 4 mpaka saa 72. Vile vile dalili za ugonjwa huu zinatofautiana toka mtu mmoja hadi mwingine. *Dalili za Kipanda Uso*
Unaweza kupata baadhi ya ishara za ugonjwa huu kama vile*
1.Kujisikia uvivu.
2.Kutapika.
3.Mauzauza.
4.Kusikia kelele sikioni nk.
Wakati mwingine kabla ya kipanda uso watu wengine wanaweza kupatwa na miwasho, shingo nzito, kupiga miayo, kusikia njaa nk #SABABU ZA KUTOKEA KIPANDA UsO MARA
NYINGI#
1.Mfadhaiko wa akili (stress)
2.Kelele nyingi kuzidi
3.Kuruka kula mlo
4.Pombe
5.Sigara
6.Shinikizo la chini la damu
7.Kutokunywa maji mengi kila siku
8.Kukosa usingizi
9.Aleji
10.Harufu kali
11.Mkao mbovu
12.Kubadilikabadilika kwa homoni.
*Wapo watu haiwezi kupita wiki bila kunywa aina fulani ya dawa kutuliza maumivu ya kichwa au kipanda uso. Hata hivyo matumizi hayo ya mara kwa mara ya hizo dawa mwishowe huleta madhara makubwa katika afya.
Kwahiyo, kwanini sasa usijisomee hapa na ujipatie ufahamu juu ya dawa za asili za kuondoa maumivu ya kipanda uso zisizo na madhara yoyote baadaye?
Endelea kusoma...
Kipanda uso na tiba yake:
Hizi ni dawa mbadala au dawa asili 8 unazoweza kuzitumia unapopatwa na kipanda uso ili kuondoa maumivu hayo na hatimaye kupona kabisa: *Dawa za asili 8 zinazotibu kipanda uso kwa haraka*
No comments