JUISI YA KITUNGUU MAJI HULETA HAMASA YA TENDO LA NDOA
TUMIA JUISI YA KITUNGUU MAJI Kikombe kimoja cha juisi ya kitunguu maji ujazo wa kikombe cha kahawa nusu saa kabla ya tendo la ndoa, huongeza msisimko kwa mwanaume na humfanya kudumu katika tendo zaidi.
JINSI YA KUANDAA:
Chukua kitunguu maji kikate vipande vidogo vidogo kisha saga kwa njia yoyoye upate juisi yake ujazo wa kikombe cha kahawa.Kisha kunywa baada ya nusu saa (dk 30) nenda kwa mama yoyoo kampe habari za Twaib!!
*Kama huna ujazo wa kikombe cha kahawa basi pima vijiko vya chakula 7/8 ndo utapata ujazo wa kikombe cha kawaha.
*Ukiamua kesho kunipa stori poa tu ila ukinyamaza mi nna zangu 🥱🥱🤪🤪🤪🤪
No comments