JE UNAJUA KUWA NYANYA INAPUNGUZA MAFUTA MWILINI?
Nyanya hutibu ugonjwa wa kutapika na inasaidia kupunguza mafuta mwilini
Matumizi
Kata nyanya zilizoiva vizuri na ule pamoja na chakula au pia waweza kutumua juice ya nyanya iliyokamuliwa ndimu ni bora kwa kupunguza mafuta mwilini.
No comments