Header Ads

Image and video hosting by TinyPic

MAANA NA AFYA YA MANII

MAANA,AFYA NA UBORA WA MANII.
     SEHEMU YA PILI YA SOMO.
Katika somo lililopita tuliishia kwa kuona maana ya Madhiy(Ute ambao hauwezi sababisha kushika kwa mimba)
  Tuendelee kukimaliza kipande hicho..............
  Ute huo anaotoa mwanaume wakati anapokuwa na hisia ya kufanya tendo(nyege) huwa tofauti.Mara nyingi ute huo unakuwa hauna uwezo wa kutungisha mimba ijapokuwa unatoka kwenye uume pale anapokuwa amedindisha(uume kusimama) pindi akiwa ameshikwa na hisia(hamu) kubwa ya kushiriki tendo la ndoa huwa hauna mbegu zenye kuweza kusafiri kwa kasi na kuogelea.
  Faida ya Ute huu ni kilainishi cha asili pale uume unapoingia ukeni.Cowper hii ndio tezi inayozalisha huu ute.
 Tezi hii hutoa ute huu wenye kemikali ambazo huzifanya manii kuwa za majimaji na kuzifanya mbegu ziweze kuogelea kwa uhuru bila shida.
    Tutaendelea na sehemu ya 3 na itakuwa ya mwisho kwa somo letu kwa kuona
  Tofauti kati ya #Manii na Shahawa.
 Wengi mnaomba tuwe na Group la whatsp ila niseme tu group lipo na masomo yanaendelea.
 Endelea kuwa nasi tutaweka link hiyo kwa ofa ya watu wastaarabu wajiunge.
     0679607723 #Like_na_Share_zaidi_kusaidia_wengine_wapate_masomo_yetu!!

No comments

Powered by Blogger.