ULIMI WA MAMA MKWE
#SNAKE PLANT FAMILY#
ULIMI WA MAMA MKWE
Siku zilizopita nilipost picha ya mmea huu kuwa nitauelezea faida yake,ingawa wengi jina la mmea huu linawachanganya.Mmea huu hutumika sana kama ua lenye kuleta pambo majumbani,maofisi na sehemu nyingi zaidi.
#SENSVERIA PLANT(snake plant family) au pia wanauita ULIMI WA MAMA MKWE(tongue of mother in law).Mmea huu unafaida ingawa wengi wakiuzania kama pambo tu.Haya fahamu kuwa
1.Sensveria plant una uwezo mkubwa wa kuziondosha zile hewa chafu(Carbondioxide. etc) zenye kuleta madhara kwa binadamu.
2.Ulimi wa mama mkwe ni dawa bora na haraka sana kwa tiba ya sikio.Ikiwa ni sikio lenye kuuma basi hii ni tiba ya haraka sana.
#kata jani la mmea huu kisha ponda vizuri halafu dondosha tone moja katika sikio lenye madhara.
Dozi hii ni 1x2(asubuhi na jioni kwa tone)
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kama ni swali tupia utajibiwa.
0679607723(whasp)
0767607724
No comments