Header Ads

Image and video hosting by TinyPic

UJUE UGONJWA WA P.I.D

●UGONJWA WA PID NA TIBA YAKE
PID ni nini? *PID(PELVIC INFLAMMATORY DISEASE) ni
Maambukizi katika via vya uzazi wa mwanamke hasa katika shingo ya kizazi(CERVICITIS),mirija ya uzazi(SALPINGITIs) na nyama katika mfuko uzazi(ENDOMETRITIs).
  •Mara nyingi madaktari wengi huchanganya wakifikiri ni U.T.I na hii ni kutokana na kipimo chake.Kwani unapochukuliwa tu kipimo cha mkojo itaonyesha ni U.T.I ila utaona ni ya mara kwa mara kumbe tatizo ni P.I.D.
 ●CHANZO/VISABABISHI VYA UGONJWA HUU
Chanzo kikuu cha haya maambukizi ni vimelea aina ya CHLAMYDIA TRACHOMATIS na
NEISSERIA GONORHOEAE.
Pia zipo sababu nyingine kama vile
*U.TI SUGU
*NGONO UZEMBE
*MARADHI YA ZINAA
*UTOAJI MIMBA
*WAKATI WA KUJIFUNGUA
AU KUHARIBIKA KWA MIMBA
*FANGASI
*KUTUMIA DAWA ZA KUZUIA MIMBA
*KUTUMIA VIPANDIKIZI VYA NDANI YA MFUKO
WA UZAZI(kama njia ya uzazi wa mpango)
    DALILI ZA PID
1.Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
2.Kuwashwa sehemu za siri
3.Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
4.Uke kutoa harufu mbaya na uchafu rangi kama ya njano au maziwa
5.Kuvurugika kwa hedhi
6.Maumivu wakati wa kukojoa na choo kikubwa
7.Kuhisi kizunguzungu,kichefu chefu kama mtu mwenye mimba na kufikia kutapika.
8.Uchovu na kukosa hamu ya kula
9.Homa na maumivu ya mgongo au kiuno
   MADHARA YA PID
(a)UGUMBA
(b)KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI
(c)MAJERAHA KWENYE MIRIJA YA UZAZI
(d)MAUMIVU YA MFUKO WA KIZAZI 
(d)KANSA YA SHINGO YA KIZAZI.
   JILINDE NA ULINDE AFYA YAKO!!
   •Wahi kupata tiba yake kwani maaradhi haya yakishakuwa sugu huwa hayatibiki yakaisha.
 •Fanya vipimo vya mara kwa mara hasa vya mfumo wa uzazi,magonjwa ya zinaa.
•Epuka kufanya tendo la ndoa wakati umejifungua au mimba kuharibika.
Ni vyema usubiri kwa miezi kadhaa.
 •Jitibu magonjwa ya mkojo na fangasi.
   Twaib & Madina Herbs Arusha 
  Kwa ushauri na tiba karibu
      +255679607723

No comments

Powered by Blogger.