MAJANI YA PARACHICHI HUONGEZA DAMU
©JE ULIKUWA UNAJUA HILI?
✳MAJANI YA PARACHICHI HUONGEZA DAMU
Angalia baadhi ya faida hizi za majani ya parachichi
1.Huongeza damu
2.Huongeza maziwa kwa mama anaenyonyesha
3.Huongeza kinga ya mwili na n.k
#Maandalizi:
Chuma majani yako kiasi kisha chemsha kama chai
#Matumizi:
Kunywa kikombe cha chai kutwa mara mbili
#Kwa ushauri na maelezo
0679607723
0767607724
0625607724
No comments