Header Ads

Image and video hosting by TinyPic

ZOEZI LA KULINDA AFYA YA KIZAZI NA NJIA YA MKOJO(PELVIC)

ZOEZI MAALUMU ILI KULINDA AFYA YA KUTA YA KIZAZI NA NJIA YA MKOJO(PELVIC)
Kwa sababu tunapaswa kufanya mazoezi mengine ya sakafu ya kizazi na njia ya mkojo(Pelvic).
Ifuatayo ni orodha ya mambo ambayo yataonyesha uwezekano dhaifu wa kuta ya kizazi (Pelvic)... ambayo inaonyesha pia jinsi ilivyo muhimu kuweka hali hii imara.
DALILI YA KUONYESHA UDHAIFU WA KIZAZI/NJIA YA MKOJO(PELVIC) : 1:Kutokwa na mkojo bila ya kujizuia/kudhibiti hasa unapofanya mazoezi, kucheka, kukohoa au kupiga chafya
2:Kuhitaji kufika choo kwa dharura au kutokufanya kwa wakati
3:Kushindwa kujizuia kwa haraka pale unapohisi choo kidogo au kupata maumivu ya tumbo
4:Kupatwa maumivu ya kizazi ana njia ya mkojo
5:Kupitisha upepo kwa bahati mbaya wakati wa kunyanyua vitu vizito au kufanya mazoezi.
6:Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
    JINSI YA KUFANYA ZOEZI
Kamilisha kila moja ya mazoezi haya mara 15- 20 katika mizunguko 2-3. Kwa kila mazoezi ya mkono mmoja hakikisha unafanya vivyo hivyo pande zote mbili. Kisha chukua mapumziko ya sekunde 45 hadi dakika 1.
    Kwa mengi tupigie zaidi
0679607723
0767607724
0625607724
@twaibherbsarusha


No comments

Powered by Blogger.