Header Ads

Image and video hosting by TinyPic

FAIDA ZA MISK ORIGINAL

Asalaam Alaykum
FAIDA YA MISK
Misk ni mafuta bora kabisa na yenye faida nyingi sana,lakini matokeo haya utayapata endapo utapata misk orginal(halisi) hii ni kutokana na mabaharia wengi kuchakachua haya mafuta.FAIDA ZA MISK JAPO KWA UCHACHE.
1.Inaongeza hamasa na kuleta ladha katika tendo la ndoa.
2.Inalainisha sehemu za uke na kumfanya mwanamke ajihisi kupata ladha ya ajabu na kufurahi tendo.
3.Hufanya mzunguko wa damu kuwa mzuri na kuleta ufahamu katika ubongo.
4.Huondoa fangasi sehemu za siri,miguuni na sehemu nyingine za mwili.
5.Huondoa harufu mbaya mwilini
6.Hutibu maumivu mishipa na viungo vya mwili.
7Huongeza kumbukumbu na haya mafuta ni mazuri kwa wanafunzi wanaosoma na kuhifadhi masomo yao vyema.
8.Huondosha gesi iliyozidi tumboni.
9.Huondosha maumivu ya moyo na kufanya mwili kuwa na mzunguko mzuri wa damu.
10.Huondosha mambo mabaya mwilini kama jini mahaba na n.k
#TAHADHARI#
Misk haina madhara ila ukipata feki haiwezi kupa matokeo sahihi au kutibu matatizo yako.Misk halisi(orginal) ndio suluhisho.Pia kwa tiba za aina yote tunatoa
tupitie kurasa katka fb kwa jina la
Twaib & Madina Herbs Arusha
Piga na jiunge group la whatsap
0679607723

No comments

Powered by Blogger.