TATIZO LA UGUMBA(Infertility) NA TIBA YAKE.
Ugumba ni ile hali ya mwanamke kupoteza uwezo wa kushika(kutunga) mimba
na kwa mwanaume ni ile hali ya kushindwa kutungisha mimba.
Sisi kama Sharjah tunashukuru Mungu kwani kwa asilimia 60% ya tuliowapa tiba wametoa shukrani za kusaidikika kwa tatizo lao.Nasi tumeona tuliweke hili hewani kwa kisaidia wengine zaidi.
SABABU ZA UGUMBA--MWANAMKE
1.Tatizo la hormone imbalance(kukosa uwiano mzuri wa homoni kwa mwanamke
2.Matumizi ya dawa/Sindano za uzazi wa mpango
3.Utoaji mimba
4.Kuziba kwa mirija ya uzazi
5.Matatizo katika mfuko wa mayai,kushindwa kuzalisha mayai(Anovulation)
6.Kuugua fangasi za ukeni kwa muda mrefu(Vaginal Candidiasis)
7.Kulegea kwa shingo ya uzazi
8.Kusumbuliwa na maumivu ya tumbo wakati wa hedhi kwa muda mrefu
9.Magonjwa ya zinaa mf.Gono,kosonono na n.k
10.Kupatwa na maumivu wakati wa tendo la ndoa na pengine chini ya kitovu.
DALILI YA UGUMBA
i.Kutoshika mimba siku za hatari
ii.Hedhi kutokuwa na mpangilio maalumu,kupishana na kubadilika kwa tarehe kila wakati au kupata hedhi mara mbili ndani ya mwezi mmoja
iii.Maumimivu makali chini ya kitovu hasa upande wa kulia au kushoto kwa ndani.
iv.Kukosa msisimko na kutokufurahia tendo la ndoa kwa sababu ya kupata maumivu makali.
TIBA
Ukiwa ni mlengwa kwa matatizo haya au mwanaume mwenye mke wa tatizo hilo basi ondoa shaka tatizo hilo linatibika.Tuna dawa zenye ubora zitakazoweza kusafisha mirija ya uzazi,kusawazisha homoni,kuondoa matatizo katika mfuko wa mayai na kutibu tatizo hilo.
Kwa mawasiliano na ushauri
+255-717188123
Karibu huduma itakufikia

No comments