Header Ads

Image and video hosting by TinyPic

MADHARA YA UVUTAJI SIGARA NA TIBA YAKE.

Asilimia kubwa ya wavutaji sigara mpaka sasa wanateseka wengi wao wakitamani kuiacha kabisa lakini wana kwama.Hebu tuone madhara yake kisha ukiwa mlengwa basi tutafute tukupatie tiba ya kudumu.Kuna madhara mengi sana ya uvutaji wa sigara/bangi ila leo tuzione hizi chache za msingi

 





MADHARA YAKE
1.Kifua kikuu
2.Saratani/kansa,kama vile kansa ya koo,mapafu,kuharibika kwa figo
3.Maradhi ya moyo na kisukari
4.Pumu
5.Matatizo kwenye mfumo wa mkojo,ini,figo,koo,mdomo,meno,macho,ubongo na vingine vingi zaidi.
6.Presha ya damu
7.Mimba kutunga nje ya jumba la uzazi(mwanamke)
8.Vidonda vya tumbo.sigara huwa inazalisha asidi ambayo huchochea madhara ya vidonda vya tumbo
9.Udhaifu wa mifupa.
FAHAMU
Hizi ni kemikali zilizopo ndani ya sigara
(a)Nicotine-sumu inayotumika kuua wadudu,hii ina madhara makubwa ndani ya mwili wa binadamu
(b)Carbonmonoxide-Hewa chafu yenye madhara kiafya
(c)Tar-Kemikali inayoweza kusababisha kansa ndani ya mwili wa binadamu.
TIBA YA KUDUMU
Sharjah Herbs Shop inaotoa dawa bora ya kiasili na kisuna isiyo na madhara kwa mtumiaji.Hii ni dawa itakayokusaidia kuacha na kukosa hamu ya kuvuta sigara/bangi.
Tupigie kwa tiba na ushauri
0717188123
0756643583
Tupo arusha, mikoa mingine huduma inakufikia bila shaka.

No comments

Powered by Blogger.