Header Ads

Image and video hosting by TinyPic

𝐌𝐎𝐑𝐈𝐍𝐆𝐀 𝐏𝐎𝐖𝐃𝐄𝐑

𝐎𝐑𝐆𝐀𝐍𝐈𝐂 𝐌𝐎𝐑𝐈𝐍𝐆𝐀 𝐏𝐎𝐖𝐃𝐄𝐑(𝐌𝐋𝐎𝐍𝐆𝐄)
UFAHAMU MLONGE NA FAIDA ZA MAJANI YA UNGA WA MAJANI YA MLONGE.

Mlonge ni mti maarufu sana duniani,na kila sehemu ya mti huu hutumika kama dawa,kama vile majani,mbegu na mizizi.Mlonge una virutubisho vingi sana vyenye kusaidia kutibu zaidi ya magonjwa 300,una kalsiamu,potasiamu,vitamini A,B,C,E,protini,madini ya chuma,Omega 3 na 6,madina ya zinki na n.k.
Faida ya Unga wa Majani ya mlonge:
1.Huongeza nguvu na kinga za mwili.
2.Hudhibiti kisukari na shinikizo la damu.
3.Huondoa sumu na lehemu(cholesterol) mwilini.
4.Husaidia kuzuia saratani na kulinda ini.
5.Hutibu matatizo yote ya tumbo na maambukizi ya bakteria yanayoletwa na chakula.
6.Hutibu ugonjwa wa baridi yabisi.
7.Huboresha afya ya macho.
8.Hutibu hisia na matatizo ya mfumo wa neva.
9.Huboresha ngozi na kutibu mzio(allergy).
10.Huondosha msongo wa mawazo.
11.Hutibu vidonda na kuondosha asidi tumboni.
  MATUMIZI:
Wakubwa:Tumia kijiko 1 cha chakula(1x2) katika supu,maziwa,chai,uji au maji moto na asali kijiko 1.
Watoto:kati ya mwaka 1-6 watatumia kijiko 1 cha chai kutwa mara 2.

   ✦Chagua unga sahihi kwa matokeo mazuri na tunakukaribisha upate unga uliohifadhiwa vizuri kwa matokeo sahihi na afya bora.𝐁𝐞𝐢 𝐳𝐞𝐭𝐮 𝐧𝐢 𝐧𝐚𝐟𝐮𝐮 𝐤𝐚𝐛𝐢𝐬𝐚.
𝐓𝐮𝐧𝐚𝐭𝐮𝐦𝐚 𝐩𝐨𝐩𝐨𝐭𝐞 𝐩𝐚𝐥𝐞 𝐧𝐝𝐚𝐧𝐢 𝐧𝐚 𝐧𝐣𝐞 𝐲𝐚 𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚.

    𝐌𝐨𝐫𝐢𝐧𝐠𝐚 𝐋𝐞𝐚𝐯𝐞𝐬 𝐏𝐨𝐰𝐝𝐞𝐫
Moringa is a very famous tree worldwide, and every part of this tree is used as medicine, such as the leaves, seeds, and roots. Moringa contains a lot of nutrients that help treat over 300 diseases, it has calcium, potassium, vitamins A,B,C,E,protein, iron minerals, Omega 3 & 6, zinc minerals, etc.
Benefits of Moringa Leaf Powder:
1.Boost stamina and improves body immunity.
2.Controls diabetes and blood pressure.
3.Detoxifies and lowers cholesterol.
4.Might help prevent cancer and protecting the liver.
5.Help some stomach disorders and foodborne bacterial infections.
6.Preventing Rheumatoid Arthritis.
7.Improve eye health.
8.Treating mood and nervous system disorders.
9.Nourishing skin and treat allergies.
10.Treats Depression
11.Treats Ulcers and acid reflux.
USAGE:
Adults: Use 1 tablespoon  in soup, milk, tea, porridge or hot water and 1 tablespoon of honey.
Children: between 1-6 years will use 1 teaspoon twice a day.

#moringapowder
#leavesMoringaPowderPublished from Blogger Prime Android App

No comments

Powered by Blogger.