Header Ads

Image and video hosting by TinyPic

UMUHIMU WA KULA MIHOGO KWA AFYA YA MACHO

𝐅𝐀𝐈𝐃𝐀  𝐘𝐀  𝐔𝐋𝐀𝐉𝐈  𝐖𝐀  𝐌𝐔𝐇𝐎𝐆𝐎(𝐂𝐚𝐬𝐬𝐚𝐯𝐚)
                 JE UNALIJUA HILI
✦Natumai kama ulikuwa unafahamu ukila muhogo unapata wanga tu basi nakupa na hii kama faida nzuri ya muhogo.

   𝐊𝐔𝐓𝐈𝐁𝐔  𝐌𝐀𝐂𝐇𝐎
✦Ikiwa unasumbuliwa na maradhi ya macho na wewe unasema hapa najua hapo umevaa miwani,wengine ndo wanawaza lini wakachongeshe miwani basi pendelea sana kula mihogo ya kuchemsha na chai ya tangawizi kwa takribani wiki mbili(siku 14).

✦INSHAALAH utatuletea majibu mazuri hapa Twaib & Madina Herbs Arusha .

#Iwe ni mtoto pia anasumbuliwa na macho shuleni mpatie dozi hii ataivua hiyo miwani

 𝐊𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐞𝐥𝐞𝐳𝐨 𝐧𝐚 𝐮𝐬𝐡𝐚𝐮𝐫𝐢 𝐰𝐚𝐬𝐢𝐥𝐢𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢
   0767607724
   0625607724

"MUNGU KWANZA NA NDIO  KIMBILIO LETU SISI TWAIB ILI  TUPATE KUSAIDIANA"🙏Published from Blogger Prime Android App        

No comments

Powered by Blogger.