𝐅𝐀𝐈𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐓𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐌𝐖𝐈𝐋𝐈𝐍𝐈
𝐅𝐀𝐈𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐓𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐊𝐈𝐀𝐅𝐘𝐀.
1.Huondoa maumivu ya viungo(arthritis/gout)
2.Hupunguza Cholesterol
3.Husaidia kupunguza Uzito
4.Husaidia mmeng’enyo wa chakula
5.Huzuia Maumivu ya Kichwa
6.Hupambana na Saratani
7.Hurudisha maji mwilini
8.Ina kiasi kikubwa cha silica na husaidia nywele kuwa imara
9.Hutibu Kisukari
10.Hudhibiti shinikizo la damu.
No comments