Header Ads

Image and video hosting by TinyPic

ATHARI ZA PUNYETO

ATHARI ZA KUJICHUA(PUNYETO)
   Ni tendo la kutoa shahawa nje na kufanya tendo la ndoa,mara nyingi mfanyaji hutumia hisia kali huku akifanya kwa nguvu kupata mshindo huo.
    Wengi hutumia sabuni,mafuta na n.k katika ufanyaji wa tendo hilo lenye udhalimu na hatari zaidi.
  Upigaji punyeto kwa asilimia kubwa vijana limewakumba na linawakuta zaidi mashuleni hasa zile za bweni.
    🔘ATHARI ZA PUNYETO.
 1.Inaharibu homoni na kuua nguvu za kiume.
2.Kuwahi kufika kileleni na kuosa hamu ya tendo la ndoa.
3.Uchovu wakati wa tendo la ndoa.
4.Maumivu ya nyonga,kiuno na kende(korodani).
5.Upigaji wa punyeto husababisha mwili upoteze kalsiamu(calcium) na protini(Protein) na hatimae mwili unakuwa dhaifu.
6.Punyeto husababisha Uhanisi(uume kushindwa kusimama).
7.Huleta matatizo ya kisaikolojia kutokana a hali ya kuwa mtumwa wa kujichua na kukosa hamu ya mapenzi.
8.Kushindwa kabisa kurudia tendo la ndoa,kupata mfadhaiko,matatizo ya neva ndani ya mwili(neva neurons).
    Somo linaendelea.
Kwa ushauri na kujiunga group la masomo yetu.Tuma neno
   TWAIB kwenda
     +255679607723
  #TwaibHerbsArusha

No comments

Powered by Blogger.