Header Ads

Image and video hosting by TinyPic

ZIJUE DALILI ZA NGIRI (HERNIA)

#DALILI ZA NGIRI(hernia)
Fahamu ya kuwa ngiri(hernia) imegawanyika katka makundi yake,kutoka na baadhi ya wadau kutamani kuzijua dalili za maradhi haya tumeona bora tuzitoe kidogo ila mengine zaidi nitayaleta,leo zijue hizi chache.
1.Kushindwa kufanya tendo la ndoa kamaa inavyostahili.
2.Maumivu au kuvimba kwa korodani.
3.Kupanda na kushuka kwa korodani.
4.Vichomi sehemu za haja kubwa.
5.Uume kusinyaa na kuwa mdogo kama wa mtoto.
6.Kupoteza kabisa hamu ya tendo la ndoa au nguvu za kiume.
7.Kupata choo kikubwa kwa tabu.
8.Kupata choo mfano wa kama mavi ya mbuzi ugumu wake.
9.Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni hupati bali unatoa upepo tu.
10.Kujaa gesi tumboni.
11.Maumivu ya tumbo na kubanwa vikali hasa sehemu ya kuzunguka chini ya kitovu hasa wakati wa baridi.
12.Kupata maumivu ya kiuno,mgongo na miguu pia kuchoka mwili.
13.Kuvimba kinyama pembeni ya kitovu na kujitokeza uvimbe kwa nje na maumivu kama unachomwa sindano au pini.
   Kwa maelezo zaidi na tiba usiache kutupigia/sms/whatsp
   +255679607723

No comments

Powered by Blogger.