T SUPPLEMENT JUICE
T SUPPLEMENT JUICE
"JUISI KWA TIBA YA MWILI"
Hii ni dawa iliyo katika mfumo wa juisi(sharubati) yenye asali ya nyuki wadogo na virutubisho tiba asilia kwa kuwa na vitamini A,B6 na C.Pia uwepo wa madini ya Zinki,Calcium,Manganese,Omega-3 na Fiber.Kwa uwezo wa Mungu juisi hii hutibu maradhi mengi sana:-
1.Husafisha mwili,huondoa mafuta,kemikali na lehemu(Cholesterol) mwilini.
2.Huimarisha afya ya tumbo na kuondoa gesi tumboni.
3.Hutibu mfumo mzima wa nguvu za kiume.
4.Husaidia kutunza na kuboresha homoni za kijinsia.
5.Husaidia kuimarisha kinga ya mwili.
6.Huondoa uchovu na kuupa mwili nguvu.
7.Huimarisha mzunguko wa damu na utulivu wa ubongo.
8.Juisi nzuri kwa kupambana na maradhi ya tezi dume,presha na kisukari.
9.Hupambana na maradhi ya figo na mkojo kutoka kwa tabu.
10.Hulinda mifupa,misuli na huleta afya bora kwa wanamichezo na wenye kufanya mazoezi.
MATUMIZI:
Kunywa ujazo wa kikombe 1 cha kahawa kutwa mara mbili.
TIKISA VIZURI KABLA YA KUTUMIA
IMEANDALIWA VYEMA NA:
TWAIB HERBS
+255679607723
+255767607724
+255625607724
No comments