UGONJWA WA BARIDI YABISI(RHEUMATOID ARTHRITIS)
UFAHAMU UGONJWA WA BARIDI YABISI (RHEUMATOID ARTHRITIS)
Baridi yabisi ni ugonjwa unaotokana #Kinga ya #Mwili(Autoimmune Diseases) kushambulia tishu za mwili na kupekelea tishu hizi kututumka na kuvimba.Tatizo hili huathiri maeneo ya maungo na kuletekeza maumivu makali yasiyokwisha, kuvimba kwa joint na kusababisha ugumu kukunja viungo. Changamoto inaweza kuwa kubwa pale mpambano kwenye joint (inflammation) unapokuwa mkubwa na baadae maumivu hupungua.
Kwa mgonjwa mwenye baridi yabisi ni muhimu kurekebisha lishe na mtindo wa maisha kama ambavyo nitaelekeza hapa chini ili kupunguza makali ya ugonjwa. Ugonjwa wa baridi yabisi kama usipochukuliwa hatua za haraka kuudhibiti unaweza kusababisha matatizo makubwa kama kuharibika kwa maungio, neva na athari kwenye mishipa ya damu.
Baridi yabisi husababishwa na muunganiko wa sababu ikiwemo lishe, vinasaba, mtindo wa maisha, vichocheo pamoja na kinga ya mwili.Tafiti zinasema kwamba kwa mgonjwa anayeanza tiba mapema hupata nafuu zaidi na kuepuka madhara ya baridi yabisi. Pamoja na dawa za hospitali wataalamu wa tiba asili tunashauri mgonjwa azingatie zaidi lishe na mazoezi ili kupunguza maumivu.
#Itaendelea na tutaangalia.
DALILI ZA UGONJWA WA BARIDI YABISI.
0679607723
0767607724
0625607724
instagram:@twaibherbsarusha
facebook:Twaib & Madina Herbs Arusha
No comments