JAZA NYWELE ZAKO KWA KUTUMIA NDIZI MBIVU NA YAI
#JE UNAJUA #JINSI YA KUJAZA #NYWELE ZAKO KWA KUTUMIA
#NDIZI NA #YAI
Hii ni #Steaming iliyo maalum kwa ajili ya kujaza nywele kwa wale zinazo katika au kuota kwa kusua sua.
●VIFAA
1.Ndizi mbivu 2
2.Yai safi 1.
●MAANDALIZI
Changanya vizuri ndizi hizo na yai kwa ajili ya kupata urojo urojo.
#MATUMIZI:
Paka kwenye nywele zako na uache kwa muda wa nusu saa (dk 30) ndio uoshe nywele zako huku ukitumia Shampoo iliyo na kondishena(Shampoo Conditioner) ili kuweza kulainisha vizuri nywele zako.
▪Kwa ushauri na maelezo tuachie comments au tupigie
+255679607723
+255767607724
+255625607724
Share kwa wengine wapate faida bila kusahau kufollow na ku like page ili usipitwe na mada zetu.
#TwaibHerbsArusha
No comments