MAFUTA YA MNYONYO(CASTOR OIL)
Mafuta ya mnyonyo yana faida nyingi sana kwa binadamu,hususani kiafya na urembo wa nywele.
A.UREMBO WA NYWELE
Mafuta ya mnyonyo ni mafuta bora kabisa kwa:
1.Kuondoa mba kichwani na mwasho wa ngozi.
2.Hurefusha na kulainisha nywele
3.Hufanya nywele ziwe imara na nyeusi
4.Kutibu fangasi zinazosababisha chunusi,mapunye au vishilingi.
5.Huotesha nywele kwenye kipara
6.Hutumika kama conditioner na pia unaweza kuchanganya na steaming na ukapaka kichwani na kuzifanya nywele zako ziwe imara zaidi.
B.AFYA YA BINADAMU
1.Kwa wale wanawake wanaosumbuliwa na maumivu wakati wa hedhi,paka mafuta kidogo kwenye kitovu
2.Kujichua(massage) kwa wale wanaosumbuliwa na maumivu ya mgongo,kiuno,viungo vya mwili(joints),kupooza na maumivu ya uti wa mgongo.
Hakikisha unapata mafuta yaliyo halisi na yasiyo chakachuliwa ili kupata matokeo sahihi.
Kwa kututafuta sisi tuna mafuta hayo kwa ujazo huu wa bei hizi nafuu ili kusaidia wengi kupata mafuta haya.
Ujazo wa 60ml ni 2500
Ujazo wa 120ml ni 5000
Ujazo wa 250ml ni 10,000
Tupo arusha na baadhi ya mikoa tunapatikana.
Tupigie
0717188123

No comments